Parenting from a distance
Men The Podcast10 Nov 2022

Parenting from a distance

Jambo la kutafuta kwa ajili ya kuangalia na kuhudumia familia yako ni jambo ambalo halikwepeki kwa mwanaume, tena ikiwa ni mwanaume anaewajibika katika majukumu yake.


Lakini, kwenye kutafuta wanaume wengi sana wamejikuta ikiwabidi kwenda kuishi mbali na familia zoo ili waweze kuzihudumia na pia waweze kutimiza ndoto walizonazo juu ya familia zao. Kuishi mbali na familia kunakuja na changamoto nyingi sana ambazo labda jamii haizitambui. Wanaume wengi wanateseka na namna ya kulea watoto wao, lakini pia hata namna ya kuboresha mahusiano na wenzi wao huku wakikabiliana na umbali uliopo kati yao.


Philip Changala alihamia Dar es Salaam kutoka Dodoma mwaka 2016, akaacha familia yake Dodoma yenye mtoto mdogo kabisa. Leo hii ameamua kuzungumza na sisi namna maisha ya kuwa mbali na familia, hususani familia changa inavyoweza kuwa na changamoto nyingi sana kwa mwanaume, na namna ambavyo inaweza kuwa chanzo kikubwa cha changamoto ya afya ya akili kwa mwanaume.


Nadia anaelezea namna ambavyo mwanaume anaweza akapambana na hali hiyo, lakini pia ni hatua zipi za kuchukua ili kuhakikisha nafasi yako kama baba na kama mume bado inabaki hata kama maisha yamekupeleka mbali na familią yako

Denne episoden er hentet fra en åpen RSS-feed og er ikke publisert av Podme. Den kan derfor inneholde annonser.

Episoder(118)

Pesa Na Presha Yake

Pesa Na Presha Yake

Pesa na Presha YakeTunza pesa, pesa ikutunze : A conversation on financial discipline and men's mental healthMoney brings its own kind of pressure  “presha” that many men carry silently, rarely naming...

10 Sep 1h 53min

Jenga Ufanisi. Kuwa Bora

Jenga Ufanisi. Kuwa Bora

What does it really mean to become a great man?In this episode of Men Men Men, Michael Baruti sits down with Princely Glorious for a deep conversation about the importance of building competency “ufan...

26 Aug 1h 56min

Nikki ni Good Boy

Nikki ni Good Boy

Most people know Nikki wa Pili as a rapper, entrepreneur, family man, and now a District Commissioner. But behind the titles, achievements, and public image is a man whose journey began not with a dre...

19 Jun 1h 40min

Jifunze Kutulia

Jifunze Kutulia

Meet Black X,  one of Tanzania’s most celebrated music video directors, a man whose confidence is as bold as his creativity, and someone who genuinely believes he is the GOAT of his craft.But before t...

3 Jun 1h 32min

Ardhi: Uwekezaji wa kweli au peer pressure tu?

Ardhi: Uwekezaji wa kweli au peer pressure tu?

In this episode, we sit down with Emilian Rwejuna, Managing Director of Viwanja Tanzania, to unpack one of the biggest silent pressures facing men today. Owning land.From “kila mwanaume lazima awe na ...

8 Mai 1h 9min

Ardhi: Uwekezaji wa kweli au peer pressure tu?

Ardhi: Uwekezaji wa kweli au peer pressure tu?

In this episode, we sit down with Emilian Rwejuna, Managing Director of Viwanja Tanzania, to unpack one of the biggest silent pressures facing men today. Owning land.From “kila mwanaume lazima awe na ...

6 Mai 1h 9min

Maisha Siyo Nukta, Ni Koma.

Maisha Siyo Nukta, Ni Koma.

Life is not a full stop. It’s a comma.But for many men, it doesn’t always feel that way.In this episode of Men Men Men, we sit down with Sebastian Mwaikambo for a deep and honest conversation about ma...

14 Apr 1h 47min

FGM Itaisha Wanaume Wakiamua

FGM Itaisha Wanaume Wakiamua

In this powerful live episode of Men Men Men, recorded in Monduli before an audience of over 200 people, we confront one of the most sensitive and deeply rooted issues in our communities: Female Genit...

18 Mar 47min

Populært innen Helse

fastlegen
rss-gukild-johaug
psykodrama
hvordan-har-du-det-mann
lydartikler-fra-aftenposten
leger-om-livet
relasjonspodden-med-dora-thorhallsdottir-kjersti-idem
rss-skravla-gar
foreldreradet
bak-fasaden-en-reise-i-livet-med-sykepleier-ine
morten-ramm-lar-kakla-ga-til-du-sovner
hjernesterk
klimaks
hormonelle-frida
rss-lopedrommen
g-punktet
rss-kunsten-a-leve
apent-forhold
rss-loping-for-nybegynnere
hverdagspsyken